TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Mwamvita Makamba

The Typologically Different Question Answering Dataset

Mwamvita Makamba (amezaliwa tar..) ni mwanamke Mtanzania aliye na ujuzi mkubwa katika sekta ya mawasiliano ya simu katika masoko na amepata ufahamu wa karibu kabisa unaohitajika kuongoza kampuni katika ustawi na pia kudumisha uwajibikaji wake kwa jamii. [1]

Mwamvita Makamba alizaliwa wapi?

  • Ground Truth Answers: tanzania

  • Prediction:

Mwamvita alisoma shule nyingi mahali tofautitofauti nchini Tanzania kwani baba yake alikua mtumishi wa umma, hivyo ilimpasa kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine mara kwa mara. Katika elimu yake ya msingi alisoma  Handeni, Lushoto na Morogoro. Alipohitimu elimu yake ya msingi alijiunga na shule ya sekondari ya wasichana Kifungilo kwa kidato cha kwanza hadi kidato cha nne. 

Mwamvita Makamba alizaliwa wapi?

  • Ground Truth Answers: Tanzania

  • Prediction: